1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama yaamua mzozo wa makaratasi ya kupigia kura

20 Julai 2017

Mahakama ya rufaa Kenya imeshikilia kwamba kampuni ya Dubai ya al ghurair itachapisha karatasi za uchaguzi za urais. Mahakama imesema hamna ushahidi wa kumhusisha Rais Kenyatta na kampuni hiyo kama ulivyodai upinzani.

https://p.dw.com/p/2gtkn
Kenia Wahlen Stim­men­aus­zäh­lung
Picha: Reuters

J3 20.07.2017 BALLOT TENDER ROW J3.DW637841 - MP3-Stereo