1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mahakama ya ICTR yafungwa Arusha

Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari ya Rwanda (ICTR) iliyoko Arusha ilikuwa ikishughulikia kesi za mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita na kuwasikiliza watuhumiwa wa mauaji ya kimbari.

Sikiliza sauti 02:19

Sikiliza ripoti ya Charles Ngereza kutoka Arusha

Sauti na Vidio Kuhusu Mada