MAGDEBURG :wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi | Habari za Ulimwengu | DW | 19.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MAGDEBURG :wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi

Wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi iiyotokea katika jimbo la mashariki mwa Ujerumani.Abiria wengine 31 walijeruhiwa katika ajali hiyo.

Polisi imesema kuwa basi hilo liligongwa na lori kwa nyuma katika barabara iliyokuwa na msongamano mkubwa wa magari na kulisukumia basi hilo kwenye mtaro.Wazee 49 walikuwamo ndani ya basi hilo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com