1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Magazeti Tanzania kusajiliwa upya

23 Agosti 2017

Serikali ya Tanzania imesema huu utakuwa utekelezaji wa sheria mpya ya huduma za vyombo vya habari iliyopitishwa mwaka 2016. Wakosoaji wanahofia kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari.

https://p.dw.com/p/2ih1L
Tansania Daressalam - Alle Zeitungen und Zeitschriften in Tansania müssen neu registriert werden
Picha: DW/E. Boniphace

J2.23.08.2017 Newspaper re-registration Tanzania - MP3-Stereo

Mkurugenzi wa Habari Maelezo Tanzania, Hassan Abbas
Mkurugenzi wa Habari Maelezo Tanzania, Hassan AbbasPicha: DW/E. Boniphace