1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mafuriko nchini Tanzania baada ya mvua kubwa kunyesha

Jiji la Dar es salaam nchini Tanzania limekumbwa na mafuriko na uharibifu mkubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

** FILE ** Members of the public are stranded on one side of the road after the bridge at Mrima, Mombasa, Kenya, was washed away by heavy floods Sunday, Feb.11, 2007. Torrential downpours and flash floods across Africa during 2007 have submerged whole towns and washed away bridges, farms and schools, killed at least 150 people, displaced hundreds of thousands and prompted the U.N. to warn of a rising risk of disease outbreaks. (AP Photo)

Wananchi wanaokabiliwa na shida ya mafuriko

 Mafuriko hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 11 huku malefu kadhaa wakikosa makaazi.

Kutoka Dar es salaam Aboubakary Liongo anasimulia hali ilivyo

Mwandishi Abubakar Liongo

Mhariri Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 22.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13XXZ
 • Tarehe 22.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13XXZ