Madaktari Kenya wanusurika kutupwa jela | Masuala ya Jamii | DW | 03.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

mgomo wa madaktari

Madaktari Kenya wanusurika kutupwa jela

Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu na Shirikisho la Vyama vya Wafanyikazi Kenya imeingilia kati kusuluhisha mgogoro kati ya serikali na Chama cha Madaktari juu ya mgomo wa madaktari.

Sikiliza sauti 02:47

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Viongozi wa chama cha madaktari wameepuka tena kifungo cha mwezi mmoja baada ya hukumu yao kuahirishwa mara ya tatu kwa muda wa siku saba kuruhusu mazungumzo kufanyika. Mgomo wa madaktari umeendelea kwa miezi miwili sasa.
 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada