1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabondia wa Manzese

Bruce Amani
13 Aprili 2018

Mtaa wa Manzese, jijini Dar es Salaam, Tanzania, ni maarufu kwa mchezo wa ndondi. Vijana wengi wanajitosa ulingoni wakiwa na ndoto kubwa maishani

https://p.dw.com/p/2w0sY