1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabishano wa Uandikishaji wa wapiga kura visiwani Zanzibar

21 Julai 2009

Huko Zanzibar mabishano yanaendelea baina ya Chama cha upinzani, CUF, na serikali visiwani humo kuhusu zoezi la kuwaandikisha watu katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwakani.

https://p.dw.com/p/Itrv
Seif Sharif Hamad kwenye uchaguzi wa mwaka 2005Picha: Mohamed Abdulrahman/DW
Katibu mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharif Hamad,  katika mahojiano na mwandishi wetu, amesema vikwazo wanavowekewa baadhi ya watu kupatiwa vitambulisho vya ukaazi ili waweze kujiandikisha  kuwa wapiga vinaweza kusababisha vurugu baadaye. Seif Sharif Hamad alimwambia hivi  mwandishi wetu Salma Said.