1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabadiliko ya baraza la mawaziri nchini Kenya

27 Machi 2012

Mabadiliko yaliyofanywa jana katika baraza la mawaziri nchini Kenya ambapo Waziri wa Utalii Najib Balala aliondolewa katika wadhifa wake yamezua hisia mbali mbali miongoni mwa wakenya.

https://p.dw.com/p/14SkX
Rais Mwai Kibaki wa Kenya
Rais Mwai Kibaki wa KenyaPicha: AP Photo

Kutoka Nairobi,mwandishi wetu Alfred Kiti na ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Alfred Kiti Dw Nairobi

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman