1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUXEMBOURG:Ajali ya treni nchini Ufaransa,watano wafa

12 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD3e

Watu watano wamekufa baada ya treni ya abiribia kugongana na treni ya mizigo kaskazini mashariki mwa Ufaransa.

Treni hiyo ya abiria ilikuwa inaelekea mji wa Nancy kutokea Luxembourg ilipogongana na treni ya mizigo.