LONDON:Kasisi wa Kenya kurudishwa kwa nguvu nyumbani? | Habari za Ulimwengu | DW | 10.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LONDON:Kasisi wa Kenya kurudishwa kwa nguvu nyumbani?

Mahakama ya mjini London imetoa amri ya kurudishwa nchini kenya kasisi anaedai kuwa na uwezo wa kuwapa wagumba watoto wa kimiujiza.

Kasisi huyo Gilbert Deya aliejipachika uaskofu anakabiliwa na madai ya kuiba watoto kati ya mwaka 1999 na 2004.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com