1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

London. Mwanajeshi mmoja auwawa.

29 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CBxC

Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi mwanajeshi mmoja wa Uingereza ameuwawa nchini Afghanistan. Mwanajeshi huyo alikuwa akitumikia jeshi hilo katika jimbo la Helmand kusini mwa nchi hiyo.

Wanajeshi 56 wa Uingereza wameuwawa nchini Afghanistan tangu uvamizi ulioongozwa na Marekani kuuondoa utawala wa Taliban mwaka 2001.