Lipumba: ′Magufuli ameingia kwa kishindo′ | Matukio ya Afrika | DW | 12.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Lipumba: 'Magufuli ameingia kwa kishindo'

Zimetimia siku 100 tangu Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alipoapishwa kuiongoza nchi. Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, amezungumza na DW na kutoa tathmini yake:

Sikiliza sauti 03:24

Mahojiano kati ya Ibrahim Lipumba na Grace Kabogo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada