1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Liberia kutangaza matokeo ya uchaguzi

Yusra Buwayhid
27 Desemba 2017

Liberia yangoja kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali. Misri yanyonga watu 15 waliohusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama rasi ya Sinai 2013. Na maelfu waandamana Lima, Peru kupinga kusamehewa rais wa zamani Alberto Fujimori aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 25 jela.

https://p.dw.com/p/2q0tp