Kwanini vijana hukimbilia muziki? | Masuala ya Jamii | DW | 21.06.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kwanini vijana hukimbilia muziki?

Muziki ni sekta ya kiuchumi inayokua kwa kasi Afrika mashariki, ikivutia vijana wengi wanaouona kama kimbilio kutokana na aidha urahisi wa kupata mafanikio au dhana tu kwamba mambo ni mteremko katika fani hii.

Wanamuziki.

Wanamuziki.

Zaidi Nkakalukanyi, ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Alianza kufanya shughuli za muziki miaka minane iliyopita baada ya kutofanikiwa kwenda mbali zaidi kimasomo. Anasema alivyoingia katika fani ya muziki, alitaka aje na miondoko tofauti na iliyopo sasa nchini Uganda, akichanganya vionjo vya muziki mkongwe na muziki wa kizazi kipya. Amefanikiwa?

Mwandishi: Iddi Ismail Ssessanga
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada