1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupanda kwa gharama za maisha nchini Kenya

5 Mei 2010

Wakati mkutano wa kiuchumi duniani ukiwa umeanza leo jijini Dar es Salaam, Tanzania, katika nchi jirani ya Kenya, uchumi wa nchi hiyo umetikisika na kusababisha kuongezeka kwa gharama za maisha.

https://p.dw.com/p/NFCL

Na kama anavyotuarifu mwandishi wetu Eric Ponda kutoka mjini Mombasa, hali hii imeathiri sekta zote za kiuchumi nchini humo huku wito ukitolewa kwa viongozi wanaokutana huko nchini Tanzania kuzingatia zaidi suala la kuwepo kwa soko huru.

Mtayarishaji: Eric Ponda

Mhariri: Abdul-Rahman