1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kuongezeka kwa matumizi ya nguvu ya Polisi Tanzania

Katika siku za karibuni, vyombo vinavyopaswa kulinda usalama nchini Tanzania vimekuwa vikilaumiwa kwa kujihusisha kwenye vitendo vya kuuvunja huo usalama wenyewe.

Kikosi cha Kuzuia Fujo cha Jeshi la Polisi la Tanzania.

Kikosi cha Kuzuia Fujo cha Jeshi la Polisi la Tanzania.

Iddi Ssessanga anauangalia ufanyaji kazi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania katika wakati ambao wito kutoka wanaharakati na wanasiasa kutaka mageuzi makubwa kwenye taasisi hiyo kuu ya usalama wa ndani.

Mtayarishaji: Iddi Ssessanga
Mhariri: Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada