1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kujijenga upya baada ya kuachwa

5 Oktoba 2011

Kuna sababu nyingi za mahusiano ya kimapenzi kuvunjika lakini pia kuna kila sababu za kujijenga upya baada ya mahusiano hayo kumalizika kwani kumalizika kwa mapenzi si mwisho wa maisha.

https://p.dw.com/p/RpGc
Siku mapenzi yakimalizika, hata pete ya ndoa hukatwa kwa mkasi.
Siku mapenzi yakimalizika, hata pete ya ndoa hukatwa kwa mkasi.Picha: Fotolia

Maryam Dodo Abdullah anazungumzia jinsi ambavyo kijana anaweza kukudhibiti kipindi cha utengano pale mahusiano ya kimapenzi yanapovunjika.

Mtayarishaji/Msimulizi: Maryam Dodo Abdullah
Mhariri: Othman Miraji