1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Logo von Marktplatz

Kiwango cha B1

Symbolbilder Deutschkurse Relaunch

Ofa hii ina drama za sauti na matoleo ya vitabu kuanzia 1991. Tunaomba uelewe kuwa marejeleo ya historia kama vile sarafu hayawezi kusasishwa.

Sehemu

Je, Kijerumani chako tayari ni kizuri? Unavutiwa na mada za uchumi na biashara za Kijerumani? Sura zote 26 za kozi hii utajifunza lugha inayohitajika ili kufanya biashara nchini Ujerumani. Kila sura inafuatiwa na faili ya sauti na mwongozo.