1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuchipuka kwa migahawa ya kahawa

Bruce Amani
14 Septemba 2017

Vijana wanazifahamu ladha mbalimbali za kahawa zilizo maarufu. Kipindi cha nyuma ilikuwa ni vigumu kutofautisha majina. Bruce Amani na vijana wenzake wanajadili kuchipuka kwa coffee bars au migahawa ya kahawa.

https://p.dw.com/p/2jzIF