1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kubadili maji ya chumvi Zanzibar

20 Machi 2018

Kubadilisha au kuchuja maji ya bahari yenye chumvi, kuwa maji baridi kwa matumizi ya nyumbani na mahotelini ni miongoni mwa mikakati inayoendelea hapa Zanzibar katika kukabiliana na uhaba wa maji.

https://p.dw.com/p/2uc6k
Ufukwe Zanzibar
Picha: picture alliance / blickwinkel/M

J1:20.03.2018- World Water Week: Zanzibar - MP3-Stereo