1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la kimataifa la shirika la safari za Baharini (IMO) mjini Nairobi

16 Mei 2007

Kongamano la kimataifa la shirika za baharini,International Maritime Organisation,IMO, linaendelea jijini Nairobi,Kenya, kwa lengo la kuidhinisha mkataba wa uondoaji wa mabaki ya meli zinazozama baharini.

https://p.dw.com/p/CHEI

Kongamano hilo linafanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika na imewachukua washikadau wa sekta ya usafiri wa baharini takriban 30 kuratibu kielelezo cha mkataba huo.

Mwandishi wetu wa Nairobi, Alfred Kiti anaripoti.