Kombe la dunia:Brazil yaichapa Korea Kaskazini | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 16.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Kombe la dunia:Brazil yaichapa Korea Kaskazini

Katika mashindano ya kugonbea kombe la dunia nchini Afrika kusini, Brazil iliichapa Korea ya Kaskazini mabao 2 kwa moja.

default

Mchezaji maaruf wa Brazil Kaka na mwenzake Robinho.

Katika mechi zingine Ivory Coast na Ureno ziitoka bila kwa bila, na New Zealand ilirudisha goli katika dakika za mwisho na kutoka sare na Slovakia-bao moja kwa moja.

Leo Honduras itapambana na Chile. Uhispania itacheza na Uswis na mwenyeji wa mashindano Afrika Kusini itaingia tena uwanjani kuchuana na Uruguay.

 • Tarehe 16.06.2010
 • Mwandishi Mtullya Abdu
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Nrra
 • Tarehe 16.06.2010
 • Mwandishi Mtullya Abdu
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Nrra

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com