Kiwango cha elimu kimeshuka wakati wa Kikwete | Masuala ya Jamii | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kiwango cha elimu kimeshuka wakati wa Kikwete

Shirika la kutetea haki ya kusoma na ubora wa elimu Tanzania, HakiElimu, limezindua ripoti ya miaka 10 ya elimu chini ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete na kusema ubora wa elimu ulishuka wakati huo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada