Kiswahili kwenye mitandao | Masuala ya Jamii | DW | 29.08.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kiswahili kwenye mitandao

Matumizi ya mitandao ya kijamii yanatajwa kuinufaisha lugha ya Kiswahili kwa kupata kwake jukwaa pana zaidi la kujitangaza, kujitanua na kujieleza kwa ulimwengu.

Meneja Mradi wa Swahili Hub, Ezekiel Gikambi.Ezekiel Gikambi

Meneja Mradi wa Swahili Hub, Ezekiel Gikambi.

Mkurugenzi wa mtandao wa Swahili Hub anazungumza na Mohammed Khelef juu ya kinachofanywa na mtandao wake katika kuimarisha matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye jukwaa la mtandaoni. Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada