1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kiswahili kifundishwavyo Bayreuth

Chuo Kikuu cha Bayreuth nchini Ujerumani kimekuwa kikifundisha lugha ya Kiswahili kama sehemu ya shahada za masomo ya Kiafrika kwa miongo kadhaa na idadi ya wanaochukuwa somo la Kiswahili inaongezeka.

Mwanafunzi wa shahada ya uzamili; Nikita kutoka Ghana, ambaye anachukuwa masomo ya Afrika na hivyo somo pia la Kiswahili.

Mwanafunzi wa shahada ya uzamili; Nikita kutoka Ghana, ambaye anachukuwa masomo ya Afrika na hivyo somo pia la Kiswahili.

Katika mfululizo huu wa makala za Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na walimu na wanafunzi wa Kiswahili kwenye chuo hicho kikongwe na ambacho kimekuwa mwenyeji wa Kongamano la Kiswahili kwa muongo wa pili sasa.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada