KINSHASA:Jeshi la umoja wa ulaya kuondoka13.11.200613 Novemba 2006https://p.dw.com/p/CCtBMatangazoWanajeshi wa umoja wa nchi za ulaya wanatarajiwa kuondoka kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa kihistoria wa mwezi ulio pita nchini humo.