1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Uzinduzi wa kampeni CCM Zanzibar

24 Septemba 2015

Chama cha Mapinduzi (CCM) upande wa Zanzibar kilizinduwa kampeni yake Jumapili Septemba 13 baada ya mpinzani wake mkubwa Chama cha Wananchi CUF kutangulia Septemba 9.

https://p.dw.com/p/1GWku
Präsidentschaftskandidat der CCM in Sansibar: Dr.Ali Mohamed Shein
Picha: DW

Katika kipindi hiki cha Kinaga ubaga Mohammed Abdul-Rahman anazungumza na Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kuhusu chama chake na hali ya kisiasa visiwani humo wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 25.

Sikiliza kipindi cha Kinagaubaga hapo chini.