1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kinagaubaga: Usalama wa Mitandao ya Kijamii

Mitandao ya kijamii imeendelea kutumiwa vibaya kama vyombo vya kuchochea itikadi kali na usajikli wa wanamgambo wenye misimamo mikali ya kidini. Serikali zinakabiliwa na changamoto kubwa ya vipi kuikabili halii hii tete.

Sikiliza sauti 09:46

Kinagaubaga kati ya Josephat Charo na Bakari Machumu

Kinagaubaga leo inaangalia mitandao ya kijamii, usalama wake na uhalifu unaofanywa humo. Ungana na Josephat Charo akizungumza na Bakari Machumu, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Mwananchi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri: Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada