1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha ukiukwaji wa haki Tanzania

Sylvia Mwehozi
11 Mei 2018

Kamati ya kuwatetea waandishi wa Habari CPJ na mashirika mengine 65 ya kiraia yamemwandikia barua rais wa Tanzania John Magufuli, kuelezea wasiwasi wao juu ya ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu na wapinzani

https://p.dw.com/p/2xWYH