Kilimo na ajira kwa vijana | Masuala ya Jamii | DW | 02.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kilimo na ajira kwa vijana

Wakati nchi za Afrika mashariki na kati zikikabiliwa na ongezeko la ukosefu wa ajira, hususan kwa vijana, sekta ya kilimo inabaki kuwa mkombozi pekee aliyebakia.

Kilimo

Kilimo

Lakini je, juhudi za kutosha zinafanyika kuhakikisha sekta hiyo inatoa mchango wake ipasavyo? Sikiliza makala kuhusu kilimo na ajira kwa vijana kwa kubonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mtayarishaji na msimulizi: Iddi ISmail Ssessanga
Mhariri: Mohamed Abdul Rahman