Kenyatta na Buhari kupambana na ugaidi | Matukio ya Afrika | DW | 28.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kenyatta na Buhari kupambana na ugaidi

Makubaliano hayo yameafikiwa kwenye mashauri kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake Muhammadu Buhari wa Nigeria. Viongozi hao wamekutana katika ikulu ya Nairobi na kusema watafanya kazi pamoja.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada