1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Shambulio la kigaidi mjini Mombasa

25 Juni 2012

Hali ya wasiwasi imezidi katika mji wa Pwani mwa Kenya wa Mombasa baada ya shambulio la kigaidi hapo jana (24.06.2012)

https://p.dw.com/p/15KuF
Baadhi ya watu walioumia kutokana na mripuko wa bomu.
Baadhi ya watu walioumia kutokana na mripuko wa bomu.Picha: DW

Vikosi vya usalama vimesema kwamba idadi ya waliokufa sasa imefikia watu watatu.

Mwandishi wetu aliyeko Mombasa, Eric Ponda na maelezo zaidi kuhusu hali ilivyo .

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Erick Ponda

Mhariri: Abdul-Rahman,Mohammed

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi