1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Katiba ya Zimbabwe, uchaguzi na hatima ya taifa

16 Oktoba 2012

Zimbabwe inaongozwa hivi sasa na serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa kati ya vyama viwili vya ZANU-PF na MDC. Lakini je, nini hatima ya serikali hiyo katika hali ya sasa?

https://p.dw.com/p/16QvR
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.Picha: AP

Iddi Ssessanga anazungumzia hali ya Zimbabwe kwa sasa kuelekea uchaguzi mkuu na katika wimbi la wasiwasi kati ya chama cha ZANU-PF cha Rais Robert Mugabe na MDC cha Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Iddi Ssessanga/DW Kiswahili
Mhariri: Josephat Charo