KASSEL:Rais H.Köhler afungua maonyesho ya sanaa | Habari za Ulimwengu | DW | 17.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KASSEL:Rais H.Köhler afungua maonyesho ya sanaa

Rais Horst Köhler wa Ujerumani amefungua rasmi maonyesho ya sanaa katika mji wa Kassel kaskazini magharini mwa Ujerumani ambapo tuko za sanaa kutoka Afrika pia zinaoneshwa.

Wasanii zaidi ya mia moja wanaonesha kazi zao kutoka sehemu zote za dunia.Watu zaidi ya nusu milioni wanatarajiwa kutembelea maonyesho hayo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com