1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msimamo wa kisheria wa kufutwa uchaguzi Zanzibar

Sudi Mnette/M M T12 Novemba 2015

Sikiliza msimamo wa kisheria baada ya kuchapishwa habari za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar katika gazeti la serikali. Katibu Mkuu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar, Omar Said Shaaban anautathimini uamuzi huo na kwanza anaeleza kasoro zilizopo katika tangazo hilo.

https://p.dw.com/p/1H4Pk