1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leah Kihara anataka kuongeza idadi ya marubani wa kike Kenya

Yusra Buwayhid
6 Februari 2018

Kutana na rubani wa kike ambaye tokea umri mdogo aliipenda kazi hiyo. Na sasa anajaribu kubadilisha mawazo ya watu nchini Kenya, juu ya marubani wanawake. Kapteni Leah Kihara mwenye umri wa miaka 35 amesharusha ndege angani kwa zaidi ya masaa 4,000. Ni kazi anyoipenda.

https://p.dw.com/p/2sC1w