1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Merkel yupo Tunisia

3 Machi 2017

Kansela Merkel awasili Tunisia kwa zaira ya kikazi, Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions amejienguwa rasmi kwenye uchunguzi kuhusu kudukuliwa kwa uchaguzi wa taifa hilo na jeshi la Syria limetangaza kuutwaa tena mji wa kale wa Palmyra.

https://p.dw.com/p/2YcKJ