Kamishna mkuu wa UNHCR Antonio Guterres atembelea kambi za wakimbizi mashariki mwa Kongo | Masuala ya Jamii | DW | 15.10.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kamishna mkuu wa UNHCR Antonio Guterres atembelea kambi za wakimbizi mashariki mwa Kongo

Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Antonio Guteres yuko katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa ziara ya siku mbili.

default

Kamishna Mkuu wa UNHCR,Antonio Guterres,ziarani DRC

Pamoja na mambo mengine anazitembelea kambi mbalimbali za wakimbizi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu kutoka Kongo, John Kanyunyu akiwa katika ziara ya Bwana Guteres na alianza kuelezea ziara nzima ya kamishna huyo:

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Hamidou, Oummilkheir

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 15.10.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/K737
 • Tarehe 15.10.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/K737