Kabul.Kiasi cha raia 50 watajwakuuwawa katika mapigano ya wiki hii huko Afghanistan. | Habari za Ulimwengu | DW | 26.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Kabul.Kiasi cha raia 50 watajwakuuwawa katika mapigano ya wiki hii huko Afghanistan.

Maafisa nchini Afghanistan wamesema kwamba, kiasi cha raia 50 wameuwawa kufuatia mashambulio ya NATO huko kusini mwa Afghanistan mapema wiki hii.

Mmoja wa maafisa wa baraza la mji amesema, hadi raia 80 wameuwawa katika jimbo la Kandahar siku ya Jumanne.

NATO imesema imepokea taarifa za kuuwawa kwa watuhumiwa 45 wa kitaliban huko Kandahar wakati wa mapigano.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com