1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya za kiraia – Kipindi 9 – Watoto wa mitaani

7 Aprili 2011

Tuzungumzie juu ya watoto wa mitaani na kujumuishwa kwao tena katika jamii. Tunakitambulisha kituo cha Kinsupa kinachowapa fursa ya pili watoto hawa. Kiko karibu na mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/Q1LG