Juhudi zinazofanywa na shirika la Senegalese Dream | Mada zote | DW | 06.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Juhudi zinazofanywa na shirika la Senegalese Dream

Fanta Diallo ni mwanaharakati wa kijamii anayeamini kuwa nchi yake ya Senegal ina mustakabali bora.

Tazama vidio 03:25

Yeye ni muasisi wa shirika la Senegalese Dream – yaani Ndoto ya Senegal, ili kujaribu kuwashawishi vijana wa Kiafrika wanaotarajia kupata kazi Ulaya kuichagua Senegal.