Jean Pierre Bemba asafiri kwenda Ureno kwa matibabu | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 11.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Jean Pierre Bemba asafiri kwenda Ureno kwa matibabu

Kiongozi wa upinzani Bw. Jean Pierre Bemba amesafiri na familia yake kwenda Ureno kwa ajili ya matibabu kwa kipindi cha miezi miwili.

Kiongozi wa Upinzani Jean Pierre Bemba

Kiongozi wa Upinzani Jean Pierre Bemba

Bemba aliondoka mjini Kinshasa chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa umoja wa mataifa waliomsindikiza hadi kwenye uwanja wa ndege.Kwa wakati huohuo waziri wa Ubelgiji wa mambo ya nje amewasili nchini humu kwa ziara ya siku mbili.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili kutoka Kinshasa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com