Je wanafunzi wavae sare za shule au wasivae? | Mada zote | DW | 16.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je wanafunzi wavae sare za shule au wasivae?

Utamaduni wa kuvaa sare za shule ni wa muda mrefu katika nchi nyingi. Lakini mjadala iwapo wanafunzi wavae sare za shule au kuruhisiwa kuvaa mavazi ya kawaida umekuwepo kwa muda mrefu. Bruce Amani atakuelezea kwa undani kuhusu mjadala huo katika kipindi cha Vijana Mchakamchaka.

Sikiliza sauti 09:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)