1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, ushawahi kwenda kwenye disko la kimyakimya

Lubega Emmanuel (HON)/MMT6 Desemba 2017

Sikiliza makala hii ili kufahamu namna jiji la Kampala linaipokea disko la kimyakimya au "silent disco" ambalo kila mtu husikiliza muziki anaoutaka kupitia kwenye vipazasauti vya kuchomeka masikioni, earphones

https://p.dw.com/p/2oqDp