1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je sheria za wazazi nyumbani zinahitajika?

Sylvia Mwehozi
3 Oktoba 2017

Vijana wengi hulalamikia sheria kali zinazowekwa na wazazi nyumabni. Sheria na kanuni hizo hazijawahi kuandikwa kokote lakini kila mzazi lazima awe na sheria zake ambazo hutekelezwa na vijana. Katika Makala ya Vijana Mchakamchaka Sylvia Mwehozi anajadili umuhimu wa sheria hizo na namna zinavyomsaidia kijana.

https://p.dw.com/p/2l8sV