JAKARTA: Boti yazama pwani ya Indonesia | Habari za Ulimwengu | DW | 20.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JAKARTA: Boti yazama pwani ya Indonesia

Nchini Indonesia,boti iliyojaa watu imezama baharini nje ya pwani ya kisiwa cha Sulawesi.Hadi watu 29 wamepoteza maisha yao na wengi bado wanakosekana.Ripoti zinazogongana zinasema boti hiyo ilikuwa na kati ya watu 80 hadi 150.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com