1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ISTANBUL: Papa Benedikt XVI amekutana na Mkuu wa Kanisa la Orthodox

30 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCnv

Baba Mtakatifu Benedikt wa 16 na kiongozi mkuu wa Kanisa la Kiorthodox,Bartholomew wametia saini makubaliano yanayotoa mwito kwa makanisa hayo kuwa na umoja na kuhifadhi misingi ya Kikristo na maadili ya Ulaya.Mchana wa leo alipanga kutembelea msikiti maarufu wa mjini Istanbul kama ishara ya upatanisho na Uislamu.