ISLAMABAD: Jemadari Musharraf kuitisha uchaguzi mapema | Habari za Ulimwengu | DW | 09.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD: Jemadari Musharraf kuitisha uchaguzi mapema

Rais wa Pakistan,Jemadari Pervez Musharraf anasema,uchaguzi mkuu wa bunge utafanywa kabla ya kati kati ya mwezi Februari.Musharraf,tangu kutangaza hali ya hatari Jumamosi iliyopita, anashinikizwa na washirika wake wa magharibi na wanasiasa wa upinzani kuufanya uchaguzi mwezi wa Januari kama ilivyopangwa hapo awali.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com