1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meya Mstahiki azungumzia mafuriko ya Dar es Salaam

Mohammed Abdulrahman
18 Aprili 2018

Mvua kubwa zinazonyesha maeneo mengi nchini Tanzania zimesababisha hasara na mafuriko hasa katika jiji la Dar es Salaam. DW imezungumza na Meya Mstahiki wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kutaka kujua juhudi zilizochukuliwa na serikali hadi sasa kukabiliana na hali hiyo.

https://p.dw.com/p/2wHEb